Hadithi za Ufanisi

Ahmed Abu Khatallah (Mfungwa)

Mauaji mnamo mwaka 2012 ya Wamerikani Wanne, akiwemo Balozi wa Marekani Benghazi, Libya

TKM ililipa tuzo ya dola milioni tatu kwa mtu aliyetoa habari zilizopelekea kukamatwa na kupatikana na hatia gaidi kiongozi Ahmed Abu Khattalah, mwanzilishi mwamba wa shambulio la mwaka 2012 katika Ujumbe Maalumu wa Marekani mjini Benghazi, Libya ulioua Wamarekani wanne, akiwemo balozi wa Marekani.

Kwa kutumia habari zilizotolewa na ajenti chimbuko, Khatallah alikamatwa mnamo tarehe 15 mwezi Juni mwaka 2014 nchini Libya na kuletwa Marekani kufikishwa mahakamani. Mnamo tarehe 28 mwezi Novemba, mwaka 2018, alihukumiwa kufungwa miaka 22 gerezani. TKM inadumisha ofa ya tuzo ya hadi dola milioni kumi kwa habari za kumfikisha mahakamani watu wengine waliohusika na hilo shambulio mjini Benghazi.

Skip to content