Tahil Sali

Asia Mashariki na Pasifiki

Tuzo

Hadi dola 500,000

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo za Mahakama inaahidi kutoa tuzo ya hadi dola laki tano kwa taarifa kumhusu Tahil Sali, kamanda katika kundi la Umoja wa Kitaifa wa Ukombozi wa Moro (MNLF), ambalo limefanya mashambulio ya kigaidi.

Mnamo tarehe 29 mwezi Septemba, mwaka 2009, kilipukaji kilichotegwa na MNLF kililipua msafara wa magari ya kijeshi kwenye Kisiwa cha Jolo, nchini Filipino. Mlipuko huo uliwaua wanajeshi wawili wa Marekani na mwanajeshi wa Filipino ambao walikuwa sehemu ya ujumbe wa wahisani waliokwenda kujenga shule kwenye eneo hilo. Mnamo tarehe 21 mwezi Mei, mwaka 2010, Mkoa wa 9 wa Mahakama Filipino ulitoa hati ya kukamatwa kwa Tahil Sali kwa jukumu lake katika shambulio hilo.

Skip to content