Shambulio la Niger la mwaka 2017

Afrika - Chini ya Jangwa la Sahara

Tuzo

Up to $5 million

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo kwa Mahakama inaahidi kutoa tuzo ya hadi dola milioni tano kwa taarifa kuhusu shambulio la mwaka 2017 nchini Nijeri.

Mnamo mwezi Oktoba, tarehe 4 mwaka 2017, karibu na Kijiji cha Tongo Tongo, nchini Nijeri, wapiganaji waliohusishwa na kundi la ISIS-Greater Sahara (ISIS-GS) walivizia kikundi cha Vikosi Maalumu vya Marekani kilichopewa kazi ya kufunza, kushauri, na kusaidia vikosi vya Nijeri katika kukabiliana na ugaidi. Shambulio hilo lilisababisha vifo vya wanajeshi wanne wa Marekani na wanne wa Nijeri. Wamarekani wawili zaidi na raia wanane wa Nijeri walijeruhiwa katika kabiliano hilo. Mnamo tarehe 12 mwezi Januari, mwaka 2018, kiongozi wa ISIS-GS Adnan Abu Walid al-Sahrawi alidai kuhusika na shambulio hilo.

Skip to content