Shambulio la Bomu Dhidi ya Raia wa Pakistan (Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini Karachi)

Asia Kusini na Kati

Tuzo

Hadi dola milioni 5

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo kwa Mahakama inaahidi kutoa tuzo ya hadi dola milioni tano kwa taarifa kuhusu shambulio la bomu la kutegwa kwenye gari la tarehe 14, mwezi Juni, mwaka 2002 nje ya Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini karachi, Pakistani. Mlipuko huo uliwaua raia 12 wa Pakistani na kuwajeruhi wengine 40.

Skip to content