Sami al-Uraydi

Mashariki ya Karibu - Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati

Tuzo

Up to $5 million

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo kwa Mahakama inaahidi kutoa tuzo ya hadi dola milioni tano kwa taarifa kumhusu Sami al-Uraydi, anayejulikana pia kama Abu Mahmud al-Shami. Al-Uraydi hapo awali alihusika na njama dhidi ya Marekani na Israeli. Al-Uraydi ni ofisa mwandamizi wa sharia wa kundi linaloshirikiana na al-Qa’ida la Hurras al-Din na mwanachama wa shura, chombo kikuu cha maamuzi cha kundi hilo. Al-Uraydi pia alikuwa ofisa mwandamizi wa sharia wa Vuguvugu la al-Nusrah kuanzia mwaka 2014 hadi mwaka 2016 na akaondoka kundi hilo mnamo mwaka 2016.

Skip to content