Kuhusu
Ansar al-Tawhid Ansar al-Tawhid (Wafuasi wa Imani Kwamba Kuna Mungu Mmoja) ilidai kuhusika na mauaji ya mwanadiplomasia wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa John Granville na mfanyakazi wa USAID, raia wa Sudani, Abdelrahman Abbas Rahama mnamo Januari, mwaka 2008.
