Kuhusu
Hadithi za Ufanisi
Tokea mwanzo wa programu ya Tuzo kwa Mahakama mnamo mwaka 1984, serikali ya Marekani imelipa zaidi ya dola milioni 250 kwa zaidi ya watu 125 waliotoa habari za kuchukuliwa hatua zilizowafikisha magaidi mahakamani, kuvuruga mashambulizi au ufadhili wa kigaidi, au kuvuruga taratibu za kifedha za wale wanaoshiriki katika shughuli haramu kuusaidia utawala wa Korea Kaskazini.
