Duran Kalkan

Ulaya na Eurasia

Tuzo

Hadi dola milioni 3

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo kwa Mahakama inaahidi kutoa tuzo ya hadi dola milioni tatu kwa taarifa kumhusu Duran Kalkan, kiongozi mwandamizi wa Chama cha Wafanyakazi cha Kikurdi (PKK), ambacho pia kinajulikana kama Kongra-Gel. PKK imetajwa na Marekani kuwa Shirika la Kigaidi la Kigeni (FTO). Kalkan ni Mwanachama wa Kamati ya Utendaji ya PKK na alihusika na shambulio lililowaua wanajeshi saba wa Uturuki mnamo Disemba, mwaka 2009.

Wizara ya fedha ya Marekani ilimtaja Kalkan kuwa Mlanguzi wa Dawa za Kulevya Mwenye Sifa Maalumu (SDNK) kuambatana na Sheria ya Kutaja Vigogo wa Kigeni wa Dawa za Kulevya (Sheria ya Kigogo) mnamo tarehe 20 mwezi Aprili, mwaka 2011.

Skip to content