Jaber A. Elbaneh

Mashariki ya Karibu - Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati

Tuzo

Hadi dola milioni 5

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo kwa Mahakama inaahidi kutoa tuzo ya hadi dola milioni tano kwa taarifa kumhusu Jaber A. Elbaneh, anayejulikana pia kama Jaben A. Elbanelt na Abu Jubaer. Elbaneh ameshtakiwa nchini Marekani kwa kosa la kutoa, na kula njama ya kutoa, msaada wa nyenzo kwa al-Qa’ida, kundi lililotajwa na Marekani kama Shirika la Kigaidi la Kigeni. Elbaneh alijulikana mara ya mwisho kuwa nchini Yemeni. Yupo kwenye Orodha ya Magaidi Wanaosakwa Zaidi ya Shirika la FBI.

Skip to content