Kundi la Jihad ya Kiislamu Misri (EIJ)

Mashariki ya Karibu - Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati

Tuzo

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Kundi la Jihad ya Kiislamu Misri (EIJ), linalojulikana pia kama al-Jihad, lilikuwa kundi la Kimisri lenye itikadi kali ambalo lilianzishwa miaka ya elfu moja, mia tisa na sabini. Lengo la kimsingi la EIJ lilikuwa kuipindua serikali ya Misri na badala yake kuweka utawala wa taifa la Kiislamu. Kundi hilo lilbobea katika mashambulio ya silaha dhidi ya maafisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Misri kwa silaha. Likiongozwa na Ayman al-Zawahiri, EIJ iliungana na al-Qa’ida mnamo mwezi Juni, mwaka 2001.

Skip to content